Aliingia yote nikiona. Nikasikia mke wangu akisema kwa sauti ya chini, “Nimeinua… zama ndani sasa… katambe.” Machozi yalianza kunitiririka bila kujizuia

Naitwa Juma Mwakalinga. Hii ni simulizi yangu mwenyewe.

Nilikuwa nafanya kazi ya ulinzi jijini Dar es Salaam. Kazi ilikuwa ngumu, zamu za usiku zilikuwa zinaniumiza sana, lakini nilikuwa nafanya kwa ajili ya familia yangu – mke wangu, Neema Mushi, na watoto wetu.

Miezi mitatu baada ya kuajiriwa, nilianza kuona mabadiliko kwa mke wangu. Zamani tulikuwa karibu sana. Hakuwa ananiacha bila kunitumia salamu hata kama sikuwa karibu na simu. 

Lakini kadri muda ulivyopita, alianza kubadilika. Nikimpigia simu, sauti yake haikuwa na hamasa kama zamani. Nilijipa moyo nikisema labda ni uchovu wa majukumu ya nyumbani.

Siku moja rafiki yangu alinifuata na kuniambia,
“Juma, kuna jambo si sawa. Nimekuwa nikimuona askari wa usalama barabarani akiingia kwako alfajiri.”

Nilishtuka, lakini sikutaka kuamini haraka. Niliamua kujionea mwenyewe.Soma Zaidi.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post