Kuna sauti ambazo hazisahauliki. Sauti ya simu ikilia mahali pasipotegemewa inaweza kubadilisha maisha ndani ya sekunde chache.
Hivyo ndivyo ilivyotokea kwa Brian wa Donholm, ambaye aliamua kufuatilia mashaka yake kimyakimya na kuishia kusikia simu ikilia ndani ya chumba cha gesti, ikifichua siri ya miaka miwili.
Brian na Lucy walikuwa katika uhusiano kwa zaidi ya miaka mitatu. Walikuwa wakipanga kufunga ndoa. Lakini kwa miezi ya karibuni, Lucy alianza kuwa na visingizio vya mikutano ya ghafla na safari za kikazi zisizoeleweka.
Brian hakutaka kuwa mwanaume wa wivu. Lakini moyo wake haukutulia.
Mashaka Yaliyokua Kimya Kimya
Alianza kuona mabadiliko madogo. Lucy alikuwa akificha simu, akitabasamu peke yake akisoma ujumbe, na mara kwa mara alikuwa akizima simu usiku. Alipomuuliza, alimjibu kwa hasira na kumuita mtu asiyejiamini.Soma Zaidi.

Naomba ushauli kutokla kwenu Nina mahusiano ya miaka mi wili na tiali tuna mtoto uongeaji wetu ni kuish pamoja na mwenzangu hapo mwanzo alikua na familia kabla yakunipata mim lakini story nyingi imekua nigoje akipata Hela anioe lakin najitaid sana kumfatilia bila ye kujua nimekuta sms za wanawake wa wili mmoja kaseviwa mke mwingine jina tu ila nao wanachat Kwa kuita ni mume wao jap mi akinipanga mi chaguo lake la mwisho na nikiangalia ni mda umepita mtoto saiv miezi 8 na wakati Nina ujauzito alinitelekeza akisema haamini kama mimba yake na alisubutu hata kunitupilia mbali hata salam Swali langu je nizid kumgoja kuamini au nifanyeje
ReplyDeleteEnderea
ReplyDeletePost a Comment