Nilifutwa Kazi Asubuhi na Kutishiwa Kutolewa Nyumbani Jioni Lakini Ndani ya Siku 7 Mambo Yaligeuka

Siku hiyo niliamka mapema kama kawaida, nikaoga na kujiandaa kwenda kazini bila kujua kuwa ingetakuwa siku ya mwisho. Nilipofika ofisini, nilikaa chini na kuitwa kwa haraka.

Maneno machache tu yakabadilisha maisha yangu: “Huduma zako hazihitajiki tena.” Hakukuwa na onyo, hakuna huruma, hakuna hata muda wa kujiandaa.

Nilirudi nyumbani nikiwa nimechanganyikiwa. Nilikuwa na kodi ya miezi miwili nyuma, watoto walihitaji karo, na simu yangu ilikuwa tayari imejaa madeni.

Jioni hiyo hiyo mwenye nyumba alinipigia akaniambia wazi kuwa kama sitapata pesa, nitatoka nje ya nyumba ndani ya siku chache. Hapo ndipo moyo wangu ulipoanguka kabisa. Usiku huo sikulala.

Nilikaa nikitazama dari nikijiuliza nitawaambia nini watoto wangu asubuhi. Nilijaribu kuomba kazi kwa marafiki, nikatuma CV kila mahali, nikajaribu hata kazi za mkono lakini hakuna kilichofunguka.Soma Zaidi.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post