Mume Alimnasua Mkewe Red Handed Ndani ya Nyumba Yao Mwenyewe, Lakini Simu Moja Ilifunua Siri Nzito Zaidi Zilizotikisa Familia Yao!

Je, kuna kitu kinauma zaidi kuliko kusalitiwa ndani ya nyumba uliyolipa kodi na kuijenga kwa jasho lako? Hiyo ndiyo hali aliyopitia Peter wa mjini Kitengela aliporudi nyumbani mapema bila taarifa na kumkuta mkewe akiwa katika hali ya kutatanisha na mwanaume mwingine sebuleni kwao. 

Lakini kilichoanza kama tukio la hasira na fedheha, kiligeuka kuwa ukweli mzito zaidi baada ya simu moja kuingia na kufungua pazia la siri iliyokuwa imefichwa kwa muda mrefu.

Peter na Anne walikuwa wameoana kwa miaka saba. Walikuwa na mtoto mmoja wa miaka mitano. Kwa nje, walionekana kama wanandoa wa kawaida wanaopambana na maisha ya kila siku. Lakini ndani ya ndoa yao kulikuwa na ukimya na umbali ambao haukuonekana kwa macho ya wengi.

Peter alikuwa akifanya kazi ya usafirishaji, akiondoka asubuhi mapema na kurudi jioni sana. Anne alikuwa akifanya biashara ndogo ya mtandaoni akiwa nyumbani. 

Kwa miezi kadhaa, Peter alihisi mabadiliko kwa mkewe. Alikuwa akificha simu yake na mara nyingi alionekana kuwa bize sana kwenye mitandao.

Alijaribu kuuliza kwa upole, lakini Anne alimjibu kwa hasira au kejeli.Soma Zaidi.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post