MERIDIANBET YAWAPA WATU MATUMAINI RAMADHANI

Meridianbet imeonyesha moyo wa mshikamano wa kijamii kwa kusaidia familia zenye uhitaji wilayani Kinondoni, jijini Dar es Salaam, hasa wakati huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Hatua hii ni ishara ya dhamira ya Meridianbet kuhakikisha kuwa hakuna familia inayosalia nyuma wakati wa ibada ya kufunga na kusherehekea baraka za mwezi huu.

Kupitia mpango wake wa Uwajibikaji kwa Jamii (CSR), Meridianbet imeunda mfumo wa msaada unaowafikia moja kwa moja wananchi wanaokabili changamoto za maisha. Kwa kutoa vyakula na mahitaji muhimu ya nyumbani, kampuni inaleta faraja na nafuu kwa kaya zilizo na uhitaji, huku ikionyesha kuwa mshikamano wa kijamii ni kielelezo cha thamani za kweli za biashara inayojali watu.

Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Nancy Ingram, msemaji wa Meridianbet, alisema: “Ramadhani ni mwezi wa mshikamano, sadaka, na kusaidia wenzetu. Tunaamini kuwa biashara haiwezi kufanikiwa peke yake bila kushirikiana na jamii. Tuna furaha kuona familia nyingi zikipata msaada unaowezesha kufunga kwa amani na kusherehekea mwezi huu wa baraka.”

Wanufaika walishiriki furaha yao na kutoa shukrani zao kwa msaada uliofika wakati muafaka. Meridianbet imetangaza kuwa msaada huu ni mwanzo tu wa mpango mpana wa kijamii unaolenga afya, elimu, mazingira, na kusaidia makundi yenye mahitaji maalum, kwa lengo la kujenga jamii yenye mshikamano, matumaini, na ustawi endelevu, haswa wakati wa mwezi wa baraka za Ramadhani.

The post MERIDIANBET YAWAPA WATU MATUMAINI RAMADHANI appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/nNZSI8P
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post