Yanga hawalali wamnyemelea mshambuliaji huyu kutoka Poland


 Mshambuliaji Laurindo Aurelio 'Depu' anakaribia kujiiunga na klabu ya Yanga akitokea Radomiak Radom ya Poland, imefahamika.

Yanga tayari imekubaliana na mshambuliaji huyo upande wa maslahi binafsi, kilichobaki ni kumalizana na klabu yake.

Mkufunzi wa Yanga Pedro Goncalves amemuhitaji mshambuliaji huyo katika kikosi chake baada ya kufanya nae kazi kwenye timu ya Taifa ya Angola.

Depu anatua kuchukua nafasi ya Andy Boyeli aliyerejeshwa klabu ya Shekhukhune United ya Afrika Kusini Yanga ikisitisha mkataba wake wa mkopo.

Follow page yetu 👉🏻👉🏻 Bofya Hapa kufollow page yetu ili kuwa wakwanza kupata habari zote za michezo.


Usikose kutazama mechi zote za Afcon, Mapinduzi cup, mechibzote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako 

 download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA  AU HAPAAAA au HAPAA kumbuka app bado hayujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK hivo ikileta neno harmful usiogope ni kwasababu bado hatujaiweka playstore

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post