Nilikuwa nimeishi maisha ya huzuni kwa miaka kadhaa. Kila jaribio langu la kufanikisha jambo lolote lilishindikana. Biashara yangu, mahusiano, hata maisha ya kila siku yalionekana kuchukua mwelekeo mbaya bila sababu ya wazi.
Nilijaribu kila njia niliyokuwa nayo, lakini kila kitu kilishindikana, na mara nyingi nilijikuta nikiuliza, “Ni kwanini mimi?” Lakini kizungumkuti kilizidi zaidi pale nilipoanza kugundua dalili zisizo za kawaida.
Nilihisi kama kuna mtu au kitu kinachonizuia kutoka kufanikisha chochote. Marafiki waliniambia nisingeza sana na kuangalia “ndani ya akili yangu,” lakini nilijua hili siyo kitu cha kawaida. Soma zaidi hapa

Post a Comment