Kwa miaka kadhaa kazini, jina langu halikuwa zuri. Nilikuwa napitwa kwenye miradi, maoni yangu yalipuuzwa, na kila kosa lilionekana kubwa nikifanya mimi. Nilijitahidi kufanya kazi kwa bidii, lakini juhudi zangu zilionekana kama hazionekani.
Taratibu, wenzangu walianza kuniita mvivu na mtu wa visingizio, jambo lililoniumiza zaidi kuliko nilivyokiri hadharani. Kilichonichosha si kazi yenyewe, bali mazingira. Nilikuwa nafanya majukumu yanayozidi nafasi yangu, lakini sifa zikichukuliwa na wengine.
Kila nafasi ya kupandishwa cheo ilipotokea, jina langu halikuwahi kuitwa. Nilianza kujiuliza kama nilikuwa nimekosea taaluma, au kama kulikuwa na kitu fulani kinanizuia kuonekana bila mimi kukijua. Soma zaidi hapa

Post a Comment