Kwa muda mrefu nilikuwa nikihisi kama maisha yangu hayasongei mbele. Kila nilipojaribu kupanga mipango, kulikuwa na mtu mmoja ambaye uwepo wake ulinitia wasiwasi bila hata kusema neno baya. Nilichoka haraka. Nilipoteza usingizi.
Nilijikuta nikiwa na hasira zisizoisha. Watu walidhani nina wivu au roho mbaya, lakini ukweli ni kwamba nilikuwa nimeelemewa kimya kimya. Nilipoanza kujiangalia kwa makini, niligundua kitu cha ajabu.
Kila nikiongea na mtu huyo, siku yangu huharibika. Kila nikimkumbuka, moyo wangu huzidiwa na uzito. Nilihisi kama kuna kamba isiyoonekana iliyokuwa inanivuta nyuma. Nilijaribu kupunguza mawasiliano, lakini bado niliendelea kuathirika. Soma zaidi hapa

Post a Comment