Kulikuwa na wakati katika maisha yangu ambapo nilianza kuhisi hofu isiyo na maelezo ya moja kwa moja. Ilianza taratibu, kwa hisia nzito moyoni na wasiwasi usioisha. Nilikuwa nikijikuta nikiangalia nyuma mara kwa mara, nikiogopa hata sauti ndogo za kawaida.
Wakati mwingine nilipokea simu zisizo na majibu, au nikahisi kama kuna mtu ananifuatilia bila sababu yoyote ya wazi. Usalama wangu ulianza kunitia shaka, na amani niliyokuwa nayo ikaanza kupotea siku baada ya siku.
Hali hiyo ilinichosha sana kisaikolojia. Usingizi ulinikimbia, mawazo yakawa mengi, na hata nilipokuwa na watu nilijihisi kama niko peke yangu. Soma zaidi hapa
.jpg)
Post a Comment