Kwa muda mrefu nilikuwa nikiishi na maumivu ya mwili ambayo sikuweza kuyaelewa chanzo chake. Ilianza kama hali ya kawaida, lakini kadri siku zilivyopita, maumivu yaliongezeka na kuathiri maisha yangu ya kila siku.
Nilikuwa nachoka haraka, mwili haukuwa na nguvu, na hata kazi ndogo zilikuwa zinanihitaji juhudi kubwa sana. Wakati mwingine nilikuwa nashindwa hata kuinuka asubuhi kwa sababu ya maumivu na udhaifu uliokuwa umenikumba.
Nilijaribu njia mbalimbali kupata nafuu. Nilitembelea vituo vya afya mara kadhaa, nikapewa dawa za kutuliza maumivu, lakini hali haikubadilika sana. Maumivu yalipungua kwa muda mfupi kisha yakarudi tena kwa nguvu zaidi. Soma zaidi hapa

Post a Comment