Nilianza kuwa na wasiwasi nilipoona mtoto wangu hafikii hatua ambazo watoto wengine wa rika lake walikuwa wanapitia. Wakati wenzake wakianza kusema maneno rahisi na kuonyesha mahitaji yao kwa sauti, wangu alikuwa kimya sana.
Alikuwa anaelewa nikimwambia jambo, lakini hakutamka maneno. Kila mtu alikuwa na maoni; wengine wakisema nimpe muda, wengine wakinitisha kuwa kuna tatizo kubwa. Kila siku moyo wangu ulikuwa mzito.
Nilijilaumu kimya kimya nikijiuliza kama nilifanya kosa fulani wakati wa ujauzito au baada ya kujifungua. Nilimpeleka hospitalini mara kadhaa, vipimo vikafanyika, nikaambiwa nisubiri tu. Lakini kadri muda ulivyopita bila mabadiliko, hofu ilizidi. Soma zaidi hapa

Post a Comment