Nilikuwa nimechoka sana kutokana na usingizi usio na mpangilio. Kila usiku, mtoto wangu mdogo alianza kulia bila sababu dhahiri. Alikuwa akitoa jasho nyingi, na mara nyingi hakuwa na joto wala dalili za ugonjwa wowote wa kawaida.
Nilijaribu kila kitu, kuanzia dawa za kawaida hadi kubadilisha chakula chake, lakini hakukuwa na mabadiliko. Hisia za hofu na wasiwasi ziliendelea kuongezeka, na mara nyingine niliwahi kuogopa kama kuna kitu kisichoonekana kinamuumiza.
Baada ya siku kadhaa za kupoteza usingizi na kuwa na wasiwasi, niligundua kuwa tatizo lake halikuwa la kawaida. Nilihisi kuna kitu cha kiroho kinachohitaji kutatuliwa. Soma zaidi hapa

Post a Comment