Baada ya mapumziko ya zaidi ya mwezi mmoja, kikosi cha Simba leo kinarejea kwenye mikiki mikiki ya ligi kuu ya NBC kwa mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar.
Ni mchezo wa kwanza wa ligi Simba inashuka dimbani mwaka 2026 pia ukiwa mchezo wa kwanza wa mashindano kwa kocha Steve Barker.
Wekundu wa Msimbazi wataingia kwenye mchezo huo wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo uliopita wa ligi dhidi ya Azam Fc.
Hivyo ni mechi ambayo mashabiki wa Simba wanatarajia matokeo ya ana moja tu, ushindi kwa timu yao.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ali mewataka mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi dimba la Meja Jenerali Isamuhyo kuipa sapoti timu yao akiwahakikishia kushuhudia kandanda safi litakaloambatana na ushindi kutoka kwa Wekundu hao wa Msimbazi.
Usikose kutazama mechi zote za Afcon, Mapinduzi cup, mechibzote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako
download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA AU HAPAAAA au HAPAA kumbuka app bado hayujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK hivo ikileta neno harmful usiogope ni kwasababu bado hatujaiweka playstore

Post a Comment