CHAGUA MECHI, WEKA DAU, SHINDA PESA LEO

Meridianbet wanakwambia hivi siku ya leo unaweza ukachagua timu zako kwa dau ulipendalo na kushinda pesa zako hapa. Timu kibao zinakusubiri wewe tuu ili uwe bingwa leo.

SUPER LIG kule Uturuki nayo inatarajiwa kuendelea ambapo Konyaspor atakipiga dhidi ya Eyupspor ambao wapo nafasi ya 17 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 13 kwenye ligi. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 4 pekee. Nani kuondoka na ushindi leo?. Bashiri hapa.

Kwa upande wa Besiktas yeye atapepetana dhidi ya Kayserispor ambapo mara ya mwisho kukutana, mwenyeji aliondoka na ushindi mnono kabisa. Leo hii mgeni anataka kulipa kisasi na Meridianbet wamekupa Odds kubwa kwenye mechi hii ya leo. Jisajili hapa.

Piga mshiko wa maana kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

EPL kuna mechi moja kali ambapo Brighton atamenyana dhidi ya AFC Bournemouth ambapo wapo nafasi ya 15 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 11. Mara za mwisho kukutana kati yao mwenyeji alipasuka. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA. Bashiri sasa.

Kule Hispania, LALIGA pia kuna mechi kali ya maana ambapo Sevilla atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Elche ambao wapo nafasi ya 9 na wenyeji wao wapo nafasi ya 14 tofauti yao ikiw ani pointi 3 pekee hadi sasa. Nafasi ya kuondoka na ushindi unayo ukibashiri mechi hii pale Meridianbet leo.

SERIE A kule Italia kuna mechi mbili ambapo Cremonese atamenyana dhidi ya Hellas Verona huku mechi ya mwisho kukutana kati yao hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. Meridianbet wameipa mechi hii Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000. Jisajili hapa.

Pia Lazio yeye atakuwa kibaruani kusaka ushindi dhidi ya Como 1907 ambao wamekuwa na mwendelezo wa matokeo mazuri kabisa kwenye ligi chini ya kocha mkuu Fabregas. Meridianbet wanakwambia hivi mechi hii inaweza badilisha maisha yako siku ya leo. Suka jamvi hapa.

The post CHAGUA MECHI, WEKA DAU, SHINDA PESA LEO appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/8iNKs3d
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post