Sikutambua mapema kuwa mtandao ulikuwa unanimeza polepole. Nilikuwa nikiamka na simu mkononi, kulala nikiwa napitia mitandao ya kijamii, na hata kazi zangu nilizifanya huku macho yangu yakirudi mara kwa mara kwenye skrini.
Kwa nje nilionekana sawa, lakini ndani akili yangu ilikuwa imechoka, imejaa mawazo, wivu, hofu, na kujilinganisha na maisha ya wengine.
Kadri muda ulivyopita, nilianza kupoteza mwelekeo.
Nilikuwa nakosa usingizi, nikiishi kwa presha isiyo na sababu ya moja kwa moja, na furaha ya vitu vidogo ikaisha. Nilihisi kama maisha yananiwapita huku nikiwa nimekwama kwenye simu.
Mahusiano yangu yakaanza kudorora, umakini ukapungua, na hata kujitambua kulianza kupotea. Nilijaribu kujidhibiti peke yangu, nikifuta baadhi ya apps au kuapa kutumia simu kidogo, lakini sikudumu. Soma zaidi hapa
.jpg)
Post a Comment