Kwa miaka mingi, nilikuwa nimekubali kimya kimya kuwa safari yangu ya kupata mtoto ilikuwa imefika mwisho. Nilipofikisha miaka sitini, nilikuwa tayari nimeacha kuulizwa maswali ya ujauzito na jamii. Wengi walikuwa wanasema kwa umri huo, ni miujiza tu inaweza kutokea. Nilijifunza kuishi na ukweli huo, nikiweka moyo wangu katika amani ya malezi ya wajukuu na maisha ya kawaida ya kila siku.
Lakini ndani ya moyo wangu, kulikuwa na ndoto ndogo iliyokuwa haijazimika kabisa. Sio kwa tamaa, bali kwa imani kuwa maisha yana njia zake zisizoeleweka. Nilianza kujitunza zaidi kiafya, kula kwa nidhamu, kupunguza mawazo na kuzingatia utulivu wa mwili na akili. Sikukimbizana na presha ya watu wala kauli za kunikatisha tamaa.
Siku ile sitaisahau. Daktari alipoangalia majibu, alinitazama kwa makini kisha akaniambia kwa sauti ya utulivu kuwa nilikuwa mjamzito. Kabla sijashtuka, akaongeza maneno yaliyobadilisha maisha yangu kabisa, kwamba nilikuwa nabeba mapacha. Nilikaa kimya kwa muda mrefu, machozi yakinitiririka bila hiari. Haikuwa furaha tu, ilikuwa mshangao uliochanganyika na shukrani. Soma zaidi hapa

Post a Comment