Ni Meridianbet pekee ndipo unaweza ukabeti mechi za ligi zote na kuibuka bingwa leo. Jumatatu ya ushindi inaanzia kwako huku machaguo zaidi ya 1000 yakiwa yanakungoja wewe. Jisajili na ubeti sasa.
SERIE A kutakuwa na mechi kali kati ya AS Roma atamenyana dhidi ya Como 1907 ambao wananolewa na Fabregas huku wakiwa ni moja ya timu ngumu kabisa msimu huu. Roma wao wamekuwa na mwendelezo mzuri, hivyo hii ni mechi ya kibabe haswa. Nani kushinda mechi hii?. Beti hapa.
LALIGA pia kuna kivumbi kati ya Rayo Vallecano vs Real Betis ambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 7, huku msimu uliopita kwenye mechi zote mbili za ligi walizokutana walitoa sare. Je kwenye mechi hii ya kwanza ya mzunguko huu, nani anaenda kuibuka mbabe?. Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa Meridianbet. Jisajili sasa.
Uturuki kule sasa, SUPER LIG itaendelea kwa mechi moja kati ya Fenerbahce atakipiga dhidi ya Konyaspor ambao mpaka sasa wameshinda mechi 4 kwenye michezo 14 waliyocheza huku wenyeji yeye akishinda 9. Kila timu inahitaji ushindi huu asogee mbele zaidi. Je nani kushinda leo?. Tandika jamvi hapa.
Ushindi mkubwa upo kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Uingereza, EPL kuna mechi ya kibabe kati ya Manchester United vs AFC Bournemouth ambapo mara ya mwisho kukutana hawa wawili walitoa sare, hivyo leo hii kila timu inagitaji ushindi huu. Meridianbet waneipa mechi hii ODDS KUBWA. Bashiri hapa.
CHAMPIONSHIP kule Uingereza pia kuna mechi moja ya pesa ambapo Derby Country atakiwasha dhidi ya Sheffield Wednesday kule ugenini huku tofauti yao kwenye msimamo ukiwa ni pointi 16. Nafasi ya kutusua na Meridianbet ipo hapa. Ingia na ubeti leo.
The post BETI LIGI ZOTE SASA UKIWA NA MERIDIANBET appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/JDsZpx1
via IFTTT
Post a Comment