Ni Meridianbet pekee ndipo unaweza ukabeti mechi za ligi zote na kuibuka bingwa leo. Jumapili ya ushindi inaanzia kwako huku machaguo zaidi ya 1000 yakiwa yanakungoja wewe. Jisajili na ubeti sasa
SERIE A kule Italia kuna mechi za kukata na shoka AC Milan atakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Sassuolo ambao wamepanda ligi kuu msimu huu. Mara ya mwisho kukutana Milan waliondoka na ushindi mnono. Je watalipiza kisasi siku ya leo?. Suka jamvi hapa.
Nao vijana wa Chivu Inter Milan watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Genoa ambao mpaka sasa kwenye mechi 13 walizocheza wamembulia pointi 11 pekee. Mgeni anataka kushindania taji la ligi kuu. Ushindi huu ni muhimu kwake pia, Ingia na ubeti mechi hii.
Bologna uso kwa uso dhidi ya Juventus ambapo ni pointi 1 pekee ndio inawatenganisha kwenye msimamo wa ligi. Msimu uliopita kwenye mechi mbili walizokutana hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. Sasa msimu huu nani kuambualia pointi zote 3?. Tandika jamvi na Meridianbet.
Ondoka kifua mbele na michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
EPL itaendelea kama kawaida ambapo Manchester City atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Crystal Palace ambapo mara ya mwisho kukutana ilikuwa kwenye michuano ya FA na vijana wa Pep Guardiola walipoteza mechi hiyo. Je leo hii nani kuondoka na ushindi?. Bashiri hapa.
Huku Nottingham Forest atakipiga dhidi ya Tottenham Spurs ambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 4 pekee. Kila timu inataka ushindi siku ya leo huku wakali wa ubashiri Tanzania wakikwambia kuwa nafasi ya wewe kuibuka na mkwanja ipo karibu. Suka jamvi mechi hii.
Brentford atamenyana dhidi ya Leeds United ambao wamepanda daraja msimu huu huku wakiwa na pointi zao 14, huku Nyuki wao wakiwa na pointi 19 kwenye msimamo wa ligi. Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho kukutana hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Jisajili sasa.
BUNDESLIGA kule Ujerumani itatikisa pia kwa mechi kadhaa ambapo Borussia Dortmund atasafiri kumenyana dhidi ya Freiburg ambao wanashika nafasi ya 3, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 8. Mechi ya mwisho kuonana hawa wawili BVB aliondoka na ushindi. Je mwenyeji kulipa kisasi?. Beti hapa.
Naye Bingwa mtetezi wa ligi kuu hiyo Bayern Munich atakuwa kibaruani kusaka pointi 3 za ushindi dhidi ya Mainz 05 huku ikiwa ni mojawapo ya timu ngumu sana ikiwa inacheza mechi na timu kubwa. Msimu uliopita kwenye mechi mbili walizokutana waligawa pointi yaani kila timu ilishinda kwake. Machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.
Werder Bremen atakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya VFB Stuttgart ambao mpaka sasa wamekusanya pointi 22 huku wenyeji wao wakiwa na pointi zao 16. Meridianbet wanakwambia kuwa tengeneza pesa kupitia mechi hii sasa. Bashiri hapa.
Ligi kuu ya Hispania LALIGA napo kitawaka sana ambapo Sevilla atamenyana dhidi ya Real Oviedo ambao mpaka sasa wameshinda mechi zao 2 pekee wakiwa nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 13. Nani kuondoka kifua mbele siku ya leo?. Tandika jamvi hapa.
Nao Levante watamleta nyumbani kwao Villarreal ambao msimu huu wamekuwa na mwenendo mzuri kwenye ligi wakishika nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 2 kutoka mwisho kwenye msimamo wa ligi. ODDS KUBWA zipo hapa. Jisajili sasa.
Deportivo Alaves watawaleta nyumbani kwako Real Madrid ambao msimu huu wamedhamiria kuchukua taji hili chini ya kocha mkuu Xabi Alonso. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 21. Je mwenyeji anaweza kumzuia mgeni kuondoka na ushindi siku ya leo?. Bashiri hapa.
The post BET LIGI ZOTE SASA UKIWA NA MERIDIANBET appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/jQAlqvV
via IFTTT
Post a Comment