Clement Mzize ndo kama hivo mnavyoona


 Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize amefanyiwa upasuaji wa goti akitarajiwa kuwa nje ya dimba kwa wiki nane hadi 10.

Mzize huenda akarejea katika majukumu yake mwanzoni mwa mwezi Februari 2026.

Usikose kuzitazama mechi zote LIVE kupitia Simu yako pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA  AU HAPAAAA au HAPAA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post