Baada ya matokeo ya kumaliza mechi ya mkondo wa kwanza kuwania kufuzu hatua ya makundi ligi ya mabingwa Africa dhidi ya Silver Strickers, kikosi cha yanga kinarejea leo kutokea malawi.
Yanga itaingia kambini siku ya kesho kujiandaa na maandilizi ya mchezo wa marudiano dhidi ya Silver strickers utakaopigwa October 25 uwanja wa Benjamini Mkapa.
Usikose kuitazama mechi hii LIVE kupitia Simu yako pia ukiwa na app hii utaweza kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au Bonyeza HApa Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk

Post a Comment