Kijana Anayechekwa Kijijini Aanza Kuvutia Bahati Kila Mahali, Kila Kitu Kinabadilika Kwa Ajabu


 Wakazi wa kijiji kimoja wamesalia na mshangao mkubwa baada ya kijana aliyekuwa akichekwa kwa maisha yake ya umasikini sasa kuanza kuvutia bahati kila anapokwenda. Wengi waliokuwa wakimkejeli kutokana na kushindwa kwake kupata ajira na kuanzisha biashara sasa wameanza kumheshimu kutokana na mabadiliko ya ajabu yaliyotokea katika maisha yake ndani ya muda mfupi.

Kwa miaka mingi, kijana huyo aliishi maisha ya tabu, akitegemea vibarua vya hapa na pale ili kujikimu. Alikuwa akihusishwa na bahati mbaya kwani kila alichojaribu hakikufanikiwa. Wengine walidai alilaaniwa, wengine wakisema hana nyota. Lakini yote hayo yalibadilika ghafla, na sasa watu wanauliza ni siri gani iliyomgeuza kuwa mfano wa mafanikio.

Nilizungumza naye binafsi, na alikiri kuwa mabadiliko hayo hayakuwa ya kawaida. “Nilihisi kuna nguvu imenigusa. Nilianza kupata nafasi ambazo hapo awali nilizikosa, watu waliokuwa hawaniamini wakaanza kuniita kwa kazi, na biashara nilizoanzisha zikaanza kuning’aria kwa kasi,” alisema kwa tabasamu.

Kijijini kwake, watu walianza kusema kwamba kuna kitu kisicho cha kawaida kilikuwa kikimsaidia. Hata wale waliokuwa hawamjali sasa wamekuwa marafiki wake wa karibu, wakitaka kujua alifanya nini kubadilisha maisha yake. Wengine wamefikia hatua ya kumfuata wakitumaini kupata ushauri wa kumaliza mikosi na kupata bahati kama yake. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post