Klabu ya Simba leo imemtambulisha beki wake mpya Wilson Nangu anayetua kutoka klabu ya JKT Tanzania
Simba imekamilisha usajili wa beki huyo ambaye pia amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa 'Taifa Stars' kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu kombe la Dunia dhidi ya Congo na Niger
Nangu amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia Wekundu hao wa Msimbazi
Anakwenda kuimarisha safu ya ulinzi ya Simba akiungana na mabeki wengine wa kati Abdulrazak Hamza, Chamou Caraboua na Rushine De Reuck
Usikose kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au Bonyeza HApa Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope ukisha download App utaweza kuona chanel hivi👇🏻👇🏻

Post a Comment