RASMI: Yacoub Suleiman atambulishwa Simba

 

Klabu ya Simba imetambulisha usajili wa mlinda lango namba moja wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Yacoub Suleiman akitokea klabu ya JKT Tanzania

Yacoub amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia Wekundu hao wa Msimbazi

Lilikuwa ni suala la muda Simba kuthibitisha usajili wake baada ya kufikia makubaliano na JKT Tanzania

Yacoub alikuwa nguzo muhimu ya kikosi cha JKT Tanzania msimu uliopita akiondoka na cleansheet nane na kuisaidia JKT Tanzania kumaliza katika nafasi ya sita

Ametua Msimbazi kumpa changamoto Moussa Camara, aliyeibuka mlinda lango bora msimu uliopita akikusanya cleansheet 19

Usikose kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza  HAPA  au Bonyeza HApa   Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope ukisha download App utaweza kuona chanel hivi👇🏻👇🏻

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post