Inaelezwa mabosi wa Simba wamepiga hodi JKT Tanzania kumuhitaji kocha mkuu wa timu hiyo Ahmed Ally, imefahamika
Simba iko kwenye mchakato wa kulisuka upya benchi la ufundi baada ya kuondoka kwa Fadu Davids na wasaidizi wake wote
Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Simba imedokeza kuwa Ahmed anahitajika na 'wanalunyasi' ili akawe Kocha Msaidizi
Mpaka sasa kwenye benchi la ufundi amebaki Selemani Matola na Riedoh Berdien ambaye ni kocha wa viungo
Mpaka sasa kwenye benchi la ufundi amebaki Selemani Matola na Riedoh Berdien ambaye ni kocha wa viungo
Simba ilipanga kumtumia kocha Hemed Morocco katika mechi ya ligi ya mabingwa dhidi ya Gaborone United pekee ambayo ilikamilika jana
Jana Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu alidokeza kuwa wiki hii watatangaza benchi jipya la ufundi
Usikose kuitazama mechi ya MBEYA CITY vs YANGA na SIMBA vs NAMUNGO LIVE kupitia Simu yako pia ukiwa na app hii utaweza kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au Bonyeza HApa Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk

Post a Comment