Nangu Apewa miaka 3 Simba

 

Huenda klabu ya Simba leo ikamtambulisha beki wake mpya Wilson Nangu anayetua kutoka klabu ya JKT Tanzania, imefahamika

Simba imekamilisha usajili wa beki huyo ambaye pia amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa 'Taifa Stars' kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu kombe la Dunia dhidi ya Congo na Niger

Nangu amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia Wekundu hao wa Msimbazi

Anakwenda kuimarisha safu ya ulinzi ya Simba akiungana na mabeki wengine wa kati Abdulrazak Hamza, Chamou Caraboua na Rushine De Reuck

Simba pia imemnasa mlinda lango wa JKT Tanzania Yacoub Suleiman ambaye naye yuko katika kikosi cha Stars

Usikose kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au HAPA kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post