MATCH DAY LIVE: SIMBA 🆚 FOUNTAIN GATE LEO ITAZAME HAPA LIVE

 

Kikosi cha Simba leo saa 1 usiku kitashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Fountain Gate katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Baada ya kuanza vyema majukumu ya kimataifa kwa ushindi wa bao 1-0 ugenini katika michuano ya ligi ya mabingwa, leo ni siku nyingine kwa Simba kuwania alama tatu muhimu katika mchezo wa kwanza wa ligi kuu

Itakuwa siku ya kwanza kazini kwa Kaimu Kocha Mkuu Hemed Morocco ambaye ameungana na Suleiman Matola katika benchi la ufundi

Matola amewahakikishia mashabiki wa Simba leo watarajie kuishuhudia timu yao ikiwa na morali ya juu akiahidi kubeba alama zote tatu

Unaweza kusema ni nyakati nzuri kwa Simba kuanza msimu dhidi ya Fountain Gate ambao mpaka sasa hawana uhakika juu ya idadi ya wachezaji ambao watawatumia siku ya leo

Klabu hiyo ilikumbana na changamoto kwenye usajili ambapo ilifanikiwa kusajili wachezaji 14 tu kabla ya dirisha la usajili kufungwa

Haifahamiki leo wataingiaje katika mchezo huo baada uongozi wa klabu hiyo kudai wachezaji wanne ni majeruhi na hivyo kubaki na wachezaji 10 pekee wawili kati yao wakiwa ni walinda lango. Hata hivyo wadadisi wa mambo wanasema inaweza kuwa ni mbinu tu za kimchezo

Simba haipaswi kuingia katika mtego wa kuamini wanakwenda kucheza dhidi ya timu yenye wachezaji pungufu, malengo ni kujipanga kushinda mchezo huo katika mazingira yoyote

Usikose kuitazama mechi hii LIVE kupitia Simu yako pia ukiwa na app hii utaweza kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza  HAPA  au Bonyeza HApa   Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.

 


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post