
Baada ya CHAN, Taifa Stars inaisaka nafasi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia 2026.
Ijumaa hii Septemba 5, itakuwa dimba la Alphonse Massemba wakicheza dhidi ya Congo.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 usiku.
Jumanne Ijayo Septemba 09, itakuwa dimba la Amaan Zanzibar ikiikaribisha Niger
Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 10:00 jioni.
Michezo hii itaruka mbashara kupitia APP yetu bure
Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Hemed Suleiman ametaja kikosi cha Taifa Stars chenye jumla ya Wachezaji 23 ambacho kitaingia kambini Septemba 2, 2025 kwaajili ya kujiandaa na michezo miwili ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Congo Brazzaville na Niger.
Wachezaji hao 23 Walioitwa Kwaajili ya Kambi hiyo ni kama ifuatavyo hapa chini.
- Yakoub Suleiman – JKT Tanzania FC
- Hussein Masaranga – Singida Black Stars
- Antony Remmy – Azam FC U20
- Shomari Kapombe – Simba SC
- Lusajo Mwaikenda – Azam FC
- Wilson Nangu – JKT Tanzania FC
- Mohamed Hussein – Yanga SC
- Pascal Msindo – Azam FC
- Ibrahim Abdallah – Yanga SC
- Dickson Job – Yanga SC
- Yusuph Kagoma – Simba SC
- Novatus Dismas – Göztepe S.K. FC, Uturuki.
- Yahya Zayd – Azam FC
- Edmund John – Yanga SC
- Charles M’mombwa – Floriana, Malta.
- Mudathir Yahya – Yanga SC
- Clement Mzize – Yanga SC
- Mbwana Samatta – Le Havre AC, Ufaransa.
- Abdul Suleiman – Azam FC
- Feisal Salum – Azam FC
- Simon Msuva – Al – Talaba SC, Iraq.
- Idd Nado – Azam FC
- Selemen Mwalimu – Simba SC
Usikose kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au Bonyeza HApa Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope ukisha download App utaweza kuona chanel hivi👇🏻👇🏻
Post a Comment