Jina langu ni Sarah kutoka Taita Taveta. Kwa muda mrefu maisha yangu yalikuwa na kivuli cha giza kilichonifanya niishi kwa hofu kila siku. Kila mtu katika familia yetu alikuwa anafariki kabla ya kufikisha miaka hamsini.
Nilipoanza kusikia simulizi hizo nikiwa mdogo nilifikiri ni hadithi tu, lakini kadri nilivyokua niliona kwa macho yangu. Babu yangu alikufa akiwa na miaka 47, shangazi yangu akafariki akiwa na 42, na hata baba yangu hakuvuka miaka 49. Nilikuwa naogopa, nikijiuliza kama nami nitafuata njia hiyo hiyo.
Hali hiyo ilinifanya nishindwe kuishi maisha ya furaha. Nilikuwa na hofu ya kupanga maisha yangu, hofu ya kuolewa, hata hofu ya kuwekeza chochote kwa sababu nilihisi sina muda wa kuishi. Watu walikuwa wakinitazama kama mtu aliyelaaniwa.
Nilijiona kama mzigo na mara nyingi nilijiuliza kwa nini familia yetu ilikumbwa na mauti ya mapema namna hii. Nilianza kuamini pengine ni nuksi au mikosi ya kifamilia ambayo hakuna mtu angeweza kuivunja. Soma zaidi hapa

Post a Comment