Kuna kitu cha ajabu na cha kuumiza zaidi kama mwanamke kusikia mume wako akikwambia hufurahishi tena uwanjani. Hiyo ndiyo hali niliyojikuta nayo. Kwa muda mrefu ndoa yangu ilikuwa baridi kama barafu.
Tulilala kitanda kimoja lakini migongo yetu iligeuzana kila usiku. Upendo uliokuwa umetufanya tuwe wapenzi ulionekana kama kumbukumbu za mbali. Nilijua kulikuwa na shida kubwa, lakini sikutegemea kile nilichosikia siku nilipoamua kumkabili.
Nilimkalia mume wangu na kumuuliza kwa ujasiri ni nini hasa kilichokuwa kimempotezea hamu ya kuwa karibu nami. Alivuta pumzi ndefu, kisha akaniangalia kwa macho yasiyo na hisia na kusema. Soma zaidi hapa

Post a Comment