Hii ndiyo dawa ya wezi katika biashara, wengi wamefanikiwa

 

Kazi yangu ni biashara ya kuuza nafaka mbalimbali hapa mtaa wa Buza. Nimeifanya hii kazi kwa miaka sita, lakini changamoto kubwa ambayo imenirudisha nyuma sana ni wezi.

Wakati fulani nilifikiria kuhamisha duka langu na kwenda sehemu nyingine tofauti, lakini nikaona siwezi kukimbia wezi. Pia, kuhamia sehemu nyingine kungeweza kunipotezea wateja wangu na jina nililokuwa nimejijengea. Nilikuwa na uhakika wa kuuza angalau Tsh. 800,000 kwa siku kutokana na idadi ya wateja wangu.

Nikaamua kuvumilia na kuongeza jitihada zaidi kwenye biashara yangu. Nililazimika kuajiri walinzi kwa kulipa kampuni tofauti ili kulinda duka. Hii ilisaidia kwa miezi sita tu, lakini baadaye wezi walirudi na kuniibia bidhaa zenye thamani ya Tsh. milioni 12. Walinzi waliokuwepo walifungwa mikono, miguu, na midomo, wakapigwa vibaya hadi kujeruhiwa. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post