Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure
Droo ya mechi za hatua ya awali na raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika (CAF CL) imefanyika leo jijini Dar es salaam mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga wakipangwa kuchuana na Wiliete Benguela ya Angola
Mchezo wa kwanza utapigwa Angola na mechi ya marudiano kupigwa wiki moja baadae uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam
Endapo Yanga itatinga raundi ya kwanza, itachuana na mshindi wa mchezo kati ya Elgeco Plus ya Madagascar dhidi ya Silver Strikers ya Malawi, mchezo huo pia Yanga itaanzia ugenini na kumalizia nyumbani
Mechi za hatua ya awali zitapigwa Septemba 19-21 leg 1 na Septemba 26-28 leg 2
Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

Post a Comment