Septemba 12 ni sikukuu kwa Wanachama na Mashabiki wa Yanga kwani lile Tamasha kubwa zaidi la burudani WIKI YA MWANANCHI litafanyika pale uwanja wa Benjamin Mkapa
Tayari Yanga imethibitisha Bandari Fc kutoka Kenya imealikwa 'kunogesha' Tamasha hilo ambalo litatumika kutambulisha kikosi cha Yanga msimu huu
Mapema tu, viingilio kuelekea vya Tamasha hilo vimeweka wazi ambapo Wananchi wanaweza kuanza kununua tiketi zao kupitia mitandao ya simu
ROYAL VVIP : 600,000/-
ROYAL VIP : 300,000/-
VIP A : 50,000/-
VIP C : 15,000/-
VIP B : 30,000/-
ORANGE : 10,000/-
MZUNGUUKO : 5,000/-
Usikose kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au HAPA kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.

Post a Comment