TAARIFA MPYA KUTOKA SIMBA NI KUHUSU MPANZU
Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure
Maswali yamekuwa mengi kuhusu kiungo mshambuliaji hatari wa Simba Elie Mpanzu ambaye bado hajajiunga na wenzake katika kambi ya pre-season inayoendelea huko Misri
Awali ilielezwa kuwa Mcongomani huyo angesafiri na kundi la pili la wachezaji wa Simba walioondoka jijini Dar es salaam mapema jana, lakini haikuwa hivyo
Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Simba imebainisha kuwa Mpanzu aliomba ruhusa ashughulikie masuala yake ya kifamilia kabla ya kuelekea Misri
Winga huyo hatari anatarajiwa kutua Misri wakati wowote kuungana na wenzake baada ya kumaliza changamoto zilizokuwa zinamkabili
Tetesi zinazomuhusisha kuondoka Simba kujiunga na Yanga hazina ukweli wowote kwa sababu bado ana mkataba wa mwaka mmoja na nusu kuitumikia Simba
Njia pekee ya Mpanzu kuondoka Simba ni endapo kama itatumwa ofa ambayo uongozi wa Simba utaridhia, lakini hawezi kuondoka kienyeji.
Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

Post a Comment