TAARIFA MPYA KUTOKA BODI YA LIGI NI KUHUSU KUANZA KWA MSIMU MPYA WA LIGI

TAARIFA MPYA KUTOKA BODI YA LIGI NI KUHUSU KUANZA KWA MSIMU MPYA WA LIGI 

Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure

Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha

 Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app
Bodi ya Ligi (TPLB) imetangaza kalenda ya mashindano msimu wa 2025/26 ambapo msimu utazinduliwa na michuano ya Ngao ya jamii itakayofanyika kuanzia September 11 hadi September 14.

Aidha, msimu mpya wa NBC Premier league 2025/26, utaanza kutimua vumbi September 16 mwaka huu na kumalizika May 23 2026

Yanga itaingia msimu huu ikiwa na dhamira ya kusaka taji la tano mfululizo ligi kuu ya NBC

Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post