Kwa muda mrefu nilikuwa nikihangaika kimya kimya na tatizo ambalo wanaume wengi hawapendi kulizungumzia hadharani kupungua kwa nguvu za kiume. Hali hii ilinifanya nijisikie dhaifu, mwenye aibu na pia iliniletea migogoro ndani ya ndoa yangu.
Mke wangu hakuwahi kuniambia moja kwa moja kuwa amechoshwa, lakini niliona katika macho yake kuwa hakuwa na furaha tena. Kila mara nilipojaribu kutumia dawa za dukani au vidonge vya kuongeza nguvu, nilipata madhara makubwa zaidi: kichwa kuuma, mapigo ya moyo kwenda kasi na hata tumbo kuharibika. Nilijua wazi kuwa suluhisho langu halikuwepo kwenye maduka ya dawa.
Nilipoanza kutafuta njia mbadala, nilisikia simulizi za watu waliokuwa wakisaidiwa kwa tiba asilia kupitia dawa za mitishamba. Mwanzoni nilidhania ni maneno ya kawaida ya kutia moyo, lakini moyoni nilihisi kuwa labda hii ndiyo njia ambayo nimeikosa kwa muda mrefu. Soma zaidi hapa

Post a Comment