Simba wabisha hodi Kmc wakimtaka kiungo huyu


 Inaelezwa klabu ya Simba imefungua mazungumzo na KMC kwa ajili ya kumsajili kiungo mkabaji Ahmed Pipino, imefahamika

Pipino (20) yuko katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kinachoshiriki michuano ya CHAN inayoendelea katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda

Tayari Simba ina makubaliano binafsi ya kiungo huyo, akiandaliwa mkataba wa miaka mitatu

Pipino atakuwa mchezaji wa pili kutua Simba akitokea KMC katika misimu hii miwili ambapo msimu uliopita Simba ilimsajili Awesu Awesu kutoka klabu hiyo.

Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post