Sherehe Ya Harusi Yakumbwa na Taharuki Bibi Na Bwana Harusi Wapotea Baada ya Nywele Kupatikana Kwa Sufuria


Watu walikimbia ovyo huku wakipiga mayowe na wengine wakipoteza fahamu baada ya harusi iliyokuwa imepangwa kwa miezi kadhaa kuvurugika ghafla wakati wa kupika chakula cha wageni, ambapo nywele ya ajabu ya binadamu ilipatikana ndani ya sufuria ya wali, ikielea juu ya mchuzi wenye harufu isiyo ya kawaida.

Harusi hiyo, iliyokuwa ifanyike katika kijiji cha Nyagondo, ilivunjwa kwa taharuki saa chache kabla ya ibada, huku bibi harusi na bwana harusi wakitoweka bila kuonekana tena baada ya tukio hilo la kushtua. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post