Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure
Klabu ya Yanga imetambulisha usajili wa kiungo fundi Mohamed Doumbia, raia wa Ivory Coast
Nyota huyo aliyewahi kuzitumikia FC Majestic ya Burkina Faso na Slovan Liberec ya Jamhuri ya Czech, pengine ni mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Yanga katika dirisha hili
Aliyefanikisha ujio wa kiungo huyo ni Stephanie Aziz Ki ambaye wakati yuko kwenye mchakato wa kujiunga na Wydad, alimwambia Rais wa Yanga Injinia Hersi Said kuhusu ubora wa Doumbia pamoja na kuwa alikaa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana mgogoro wa kimkataba
Baada ya kupewa taarifa, Hersi akawasiliana na mchezaji na kuandaa taratibu za kumleta Dar es salaam ambapo baada ya kutua, alimpa nafasi ya kufanya mazoezi na timu kabla ya kumsajili
Doumbia ni kiungo kiraka ambaye anaweza kutumika katika eneo lolote kati yaani namba 6, 8 na namba 10
Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

Post a Comment