Ratiba ya Mechi 5 za Yanga itakayo anza nazo


 Mikiki mikiki ya ligi kuu ya NBC 2025/26 inaanza rasmi Septemba 17 siku moja baada ya mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao umepangwa kupigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Mabingwa watetezi wa ligi hiyo Yanga watacheza mechi ya kwanza Septemba 24 dhidi ya Pamba Jiji mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Aidha msimu huu Yanga imechagua kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa kama uwanja wake wa nyumbani

Hizi hapa mechi tano za mwanzo;

Pamba Jiji (Sept 24) - Benjamin Mkapa

Mbeya City (Sept 30) - Sokoine

Mtibwa Sugar (Oct 29) - Benjamin Mkapa

Tanzania Prisons (Nov 1) - Sokoine

KMC (Nov 4) - Benjamin Mkapa

Aidha mechi ya kwanza ya dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba itapigwa Disemba 13 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Usikose kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au HAPA kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post