
Bodi ya ligi (TPLB) leo imetangaza ratiba ya ligi kuu ya NBC 2025/26 inayotarajiwa kuanza Septemba 17
Hata hivyo kutokana na ushiriki wa Simba katika michuano ya ligi ya mabingwa, Mnyama atasubiri hadi Septemba 25 kucheza mechi ya kwanza dhidi ya Fountain Gate
Msimu huu Simba itaendelea kucheza mechi zake katika uwanja wa KMC Complex kama walivyofanya msimu uliopita
Hizi hapa mechi tano za mwanzo;
Fountain Gate (Sept 25) - KMC Complex
Namungo (Oct 1) - KMC Complex
Tabora United (Oct 30) - Ali Hassan Mwinyi
Azam Fc (Nov 2) - Benjamin Mkapa
JKT Tanzania (Nov 5) - Isamuhyo
Mtanange wa kwanza dhidi ya Yanga kwenye ligi utapigwa Disemba 13 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Usikose kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au HAPA kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.
Post a Comment