Mwanamke Acharuka Kulia Mtaani Baada Ya Kuvamiwa Na Nyuki Wakiwa Na Mume Wa Mtu Lodging

 


Wakazi wa Mbeya washuhudia sinema ya bure ya aibu na kilio wakati nyuki walivamia chumba cha wageni.

Mtaa wa Forest mjini Mbeya uligeuka uwanja wa mshangao mnamo Alhamisi, Julai 31, 2025, baada ya mwanamke mmoja kuonekana akikimbia barabarani akiwa na mavazi ya ndani tu huku akipiga mayowe ya kuomba msaada, hali iliyowashangaza wakazi waliokuwa karibu na eneo hilo, hasa baada ya kubainika kuwa alikuwa ameingia chumba cha kulala na mume wa mtu.

Kwa mujibu wa walioshuhudia tukio hilo, kilio cha mwanamke huyo kilianza majira ya saa mbili na nusu asubuhi kutoka katika moja ya nyumba za kulala wageni, ambako watu walieleza kuwa mwanamke huyo aliingia pamoja na mwanaume aliyedaiwa kuwa fundi maarufu wa umeme mtaani hapo, ambaye alifahamika kwa jina moja tu la Mwagito. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post