Jinsi nilivyomfumania mke yangu akiwa na Hassan wa Tuktuk

 


Kilio cha kushangaza kilisikika kutoka kwa kijana mmoja kwa jina la Kelvin, aliyekuwa akirejea nyumbani kutoka kazini majira ya saa tatu usiku mnamo Jumatatu, Agosti 4, 2025, katika mtaa wa Kinondoni jijini Dar es Salaam, na ndipo majirani waliposhtuka na kukimbilia kuona kilichokuwa kimejiri, bila kujua kwamba walikuwa karibu kushuhudia mojawapo ya visa vya aibu, kisanga na mshtuko wa hali ya juu kuwahi kutokea katika eneo hilo.

Kelvin, ambaye kwa muda wa miaka miwili alikuwa akiishi na mchumba wake aitwaye Doreen kwenye chumba kimoja cha kupanga, aliingia kimyakimya usiku huo baada ya kuahirisha safari ya kikazi Morogoro, kwa matumaini ya kumpa mpenzi wake mshangao wa kimapenzi na zawadi ndogo aliyoinunua njiani. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post