Mligo atambulishwa Simba akitokea Namungo
Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure
Klabu ya Simba imetambulisha usajili wa mlinzi wa kushoto Anthony Mligo kutoka klabu ya Namungo Fc
Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amependekeza kusajiliwa kwa beki huyo mzawa ili kuimarisha safu ya ulinzi upande wa kushoto
Simba imelazimika kumuongeza Mligo baada ya mchakato wa kumsajili beki wa kushoto Khadim Diaw kutoka klabu ya Al Hilal ya Sudan kuchelewa kukamilika
Wekundu hao wa Msimbazi pia watasajili beki mwingine wa kushoto raia wa kigeni baada ya kusitisha mpango wa kumsajili Miraji Abdallah 'Zambo' kutoka Coastal Union
Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

Post a Comment