Fadlu kuanza kukipima kikosi cha Simba August 15


Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure

Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA

Kikosi cha Simba chini ya Kocha Fadlu Davids kinaendelea na pre-season Misri ambapo ikifika Jumatano itatimia wiki moja tangu msafara wa kwanza ulipotua huko Ismailia

Mratibu wa Simba Abbas Ally amesema maandalizi yanaendelea vyema ambapo wamepata mahitaji yote muhimu kwa ajili ya kukamilisha maandalizi hayo

Aidha Abbas amesema kuwa kuanzia August 15 Simba itaanza kujipima mechi za kirafiki ambapo watacheza na klabu mbalimbali kutoka Arabuni ambazo nyingine ziko Misri zikifanya pre-season

Kikosi cha Simba kitakuwa Misri kwa siku 28 ambapo kambi hiyo itafikia tamati August 28

Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA  kudownload app

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post