Kwa miaka mingi, familia yangu ilijulikana kama maskini kupindukia. Tulikulia katika kijiji ambacho kila mtu alijua hali yetu. Kila jitihada za kutafuta maendeleo zilikuwa zikididimia. Wazazi wangu waliishi maisha ya taabu, ndugu zangu wakubwa walijaribu biashara kadhaa lakini zote zilifilisika.
Kulikuwa na msemo kijijini kwamba familia yetu “imekaliwa na jini la umasikini.” Ilibidi tuishi kwa misaada na kutegemea mashamba madogo ambayo hayakutosheleza. Kila wakati nilijiuliza, mbona familia yetu pekee ndiyo haipigi hatua?
Nilipoolewa, hali haikubadilika. Mimi na mume wangu tulihangaika sana kutafuta riziki. Tulijaribu kuuza bidhaa sokoni, tulijaribu kilimo, hata kazi za vibarua, lakini tulikuwa tukianza vizuri na ghafla mambo yanapinduka. Soma zaidi hapa

Post a Comment