Mama Aliyeugua Miaka Mingi Sasa Amepona

 


Saida alikuwa mama mwenye nguvu sana kijijini kwao. Lakini miaka zaidi ya kumi aliteseka na maradhi yasiyoelezeka.

Mwili wake ulikuwa dhaifu, na mara nyingi alilala kitandani bila kuweza hata kufanya kazi ndogo. Wakati wenzake walikuwa wakihangaika mashambani au sokoni, yeye alibaki nyumbani akilia kwa maumivu.

Wazazi, ndugu na hata marafiki walijaribu kila mbinu kumsaidia. Alitembea hospitali nyingi, akaandikiwa dawa zisizo na mwisho.

Wakati mwingine alijisikia nafuu kwa muda, lakini baada ya siku chache hali yake ilirudi pale pale. Madaktari walikuwa wameshindwa kueleza hasa ni ugonjwa gani ulimuandama. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post