Mama Aliyefukuzwa Ndiyo Amejenga Nyumba ya Kisasa kwa Kijijini

 

Hadithi ya Bi. Agnes ni kioo cha maisha ya kina mama wengi waliopitia mateso ya ndoa. Aliolewa akiwa msichana mdogo, akiamini kuwa ndoa ndiyo itakayompa furaha ya kudumu. Hata hivyo, mambo hayakuwa kama alivyotarajia.

Mume wake alianza kumtendea vibaya miaka michache tu baada ya ndoa. Alimdharau, akawa anamnyanyasa kimwili na hata maneno makali kila siku. Agnes alijaribu kuvumilia, akitumaini kuwa siku moja mume wake atabadilika. Lakini hali ilizidi kuwa mbaya. Hatimaye, alifukuzwa nyumbani bila chochote mikononi.

Wakati huo alikuwa na watoto wawili wadogo. Alirudi kwa wazazi wake kijijini akiwa amevunjika moyo, maskini na akihisi dunia yote imemgeuka. Watu kijijini walimdhihaki, wakimwita majina na kusema kuwa ni “mke aliyetupwa.” Maisha yalionekana giza tupu kwake. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post