Maiti yajitokelezea kwa dada yake usiku na kufichua siri nzito

 


Nilianza kushuku jambo lisilo la kawaida baada ya ndoto ile ya usiku wa Jumapili. Nilikuwa nimelala, nikiwa na huzuni mwingi kwa sababu ya kifo cha kaka yangu, Robi, ambaye tulimpoteza wiki tatu zilizopita kwa njia ya kutatanisha. Mwili wake haukuwa umeonekana, na kilichoachwa ni tetesi kuwa alipotea baada ya kuondoka kazini usiku wa manane. Polisi walikuwa bado wanafanya uchunguzi, lakini hakukuwa na mwanga wowote wa matumaini.

Lakini usiku ule, ndoto yangu haikuwa ya kawaida. Nilimuona Robi akiwa amevaa mavazi yale yale ya siku aliyoonekana mara ya mwisho. Alikuwa amesimama mlangoni mwa chumba changu, macho yake yalikuwa mazito lakini yenye huzuni, na sauti yake ilisikika kama upepo wa usiku.

Aliniambia, “Nimezikwa porini, nyuma ya shamba la Milanzi, na aliyenifanya hivi ni mtu usiyemshuku. Fuata moyo wako.”

Nilipoamka, mwili wangu ulikuwa na baridi kali kana kwamba nilikuwa nimetoka kuzika mtu mwenyewe. Nilijua hiyo haikuwa ndoto ya kawaida. Niliamua kuzungumza na mama yangu lakini aliniambia nipumzike, huenda ni huzuni tu. Lakini moyo wangu haukutulia. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post