Shangwe zilizokuwa zinapamba harusi hiyo zilisimama ghafla baada ya bibi harusi na mchumba wake kuingia ndani ya nyumba ili kubadilisha mavazi, na hawakutoka tena hata baada ya saa moja kupita.
Walipogongewa mlango hawakuitika, na walipoingia ndani hawakuwakuta, ingawa simu zao zote mbili zilikuwa zimeachwa juu ya kitanda, jambo ambalo liliwaacha ndugu na jamaa wakiwa na mshtuko na hofu kubwa.
“Hii sio kawaida. Hawa watoto walikuwa wanapendana kweli, hakuna sababu ya kukimbia siku ya harusi yao,” alisema Mzee Otieno, baba wa bwana harusi. Soma zaidi hapa

Post a Comment